Usiyebadilika na wakati; wewe ni Mungu wa ajabu
Uliyejaa rehema na neema; wewe ni Mungu wa ajabu
Oooh..aaaah
Wangojwa wanapona kwa jina lako(ooh ooh); wewe ni Mungu wa
ajabu
(Uuuuuu)
Kifo ata mauti baba umeshinda;wewe ni mungu Mungu wa ajabu
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Wewe unatenda Babaaaa
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Wewe unateenda Babaaaaa
Mambo ya ajabu
Watengeneza njia pasipo na njia; wewe ni Mungu wa ajabu
Mungu usiyeshindwa na lolote; wewe ni Mungu wa ajabu
(Oooh..aaah)
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Wewe unantenda Babaaaa
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Wewe unatenda Babaaaaa
Mambo ya ajabu
(Ooooohooooh)
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Wewe unatenda Babaaaa
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Mambo ya ajabu
Wewe unatenda Babaaaaa
Mambo ya ajabu

No comments:
Post a Comment